TBT: Hasheem Thabit na Flaviana Matata enzi hizo
View attachment 341452 View attachment 341453 Iliwahi kusikika kuwa Thebeet aliwahi date na F.Matata back in the days,Wakati jamaa akiingia NBA na huyu mrembo akiwa na mambo yake ya Ulimbwende huko...
View ArticleDemu mpya wa Diamond mrithi wa Zari
Mwenye picha ya demu mpya wa Diamond naomba utuwekee hapa. Naona ndio habari leo hapa mjini. Wengine hatumjui. Ni vizuri tukipata na maelezo yake kidogo anafanya ishu gani mjini.
View ArticleKilio cha lara 1 chasikika Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser leo bango la pale ubungo kona ya kwenda chuo kikuu udsm wametoa picha ya diamond na...
View ArticlePicha: Ray C amtembelea Lady jaydee
Mwanamuziki mkongwe nchini, Rehema Chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini Lady Jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo kupitia...
View ArticleKi-Bob Marley
Hivi niko kwenye njozi au ninachokiona ndicho kweli kinachotokea? Gotdamnit! Ntampata wapi huyu?
View ArticleNay Wa Mitego amchana Gigy Money!
Haya sasa Kumekucha, habari zimefichuka siri si siri tena. Baada ya Gigy Money kulalamika kwenye baadhi ya Media kuwa alilipwa sh. elfu 20 baada ya kuwa Video queen kwenye nyimbo ya Nay wa Mitego Nay...
View ArticleSiwema wa Ney awekwa jela miaka miwili kwa kesi ya kutukana
Mahakama kuu ya mkoani Mwanza imemuhukumu Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay Wamitego miaka miwili jela kwa kesi ya kumtukana mtu kwa njia ya mtandao. Siwema alituhumiwa kumtukana matusi kwa njia...
View ArticleLulu amtusi mama yake Kanumba, amuita KUBWA JINGA
KITENDO cha muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kutoa maneno ya kumtusi mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, ni dalili za msichana huyo kuitafuta laana. Hivi karibuni,...
View ArticleHama hama ya watangazaji wa radio za Bongo, maana yake ni nini!?
Watangazaji sasa wanabadilisha vituo kama team za soccer. Gadner katoka Efm kaenda Clouds. PJ na Hando wametoka Clouds wameenda Efm. Jabir saleh na Bi Hindu wametoka Times fm wameenda Efm. Dj Senyorita...
View ArticleVideo mpya ya Lady Jaydee 'Ndi Ndi Ndi' ni shida
Nimecheki baadhi ya clips za video mpya ya mwanamuziki lady jaydee " The ndi! ndi ndi , kwa kweli jide karudi kwenye ubora, video kali sana, hongera sana commando jide
View ArticleInspector Haroon: Namshukuru Mungu nimekamilisha Nyumba zangu mbili
Mkongwe katika muziki wa Hip Hop Bongo, Inspector ‘Babu’ Haroon, amesema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia kukamilisha ujenzi wa nyumba zake mbili jijini Dar es salaam. Akizungumza kupitia Segment ya...
View ArticleKwanini Samatta na Kiba wanamfunika Almasi?
Wakuu hivi kwa nini kiba na samata wanamfunika sana almasi?
View ArticleDiamond anatumia uchawi
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana"
View ArticleHappy Birthday Queen Elizabeth II 90 yrs old
View attachment 341260 View attachment 341261 View attachment 341262 View attachment 341263
View ArticleMbona wasanii wa Marekani wanamambo ya ajabu sana
Ni kweli Marekani ndo kitovu cha hip hop ila sasa marapper wanakera sana wengi wana maringo mfano Lil Wayne, Kanye West, Birdman na Rick Rossy. Wengi ni waabudu shetani freemason/illuminant yani kazi...
View ArticleSiwema wa Nay wa Mitego atiwa mbaroni, kisa ni kumpiga picha za uchi na...
Mzazi mwenzake staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego, Siwema Edson (27) ametiwa mbaroni na kusota rumande kwa siku kadhaa akidaiwa kujipatia mali kwa njia ya vitisho kutoka kwa...
View ArticleMambo kumi kuhusu Oliver Mtukudzi
View attachment 341851 Wengi wanamfahamu kutokana na umahiri wake mkubwa katika medani ya muziki, utambulisho wake mkubwa ukiwa ni sauti yake nzito na ya kipekee. Yafuatayo ni mambo kumi kuhusu msanii...
View ArticleSamahani Hasheem Thabit na Flavian Matata
Samahani kwa "Celebrities" Hasheem Thabit na F.Matata Nikiwa kama mwana JF mzoefu,niliyeanza kuperuzi JF mwanzoni mwa mwaka 2008 na baadae kuwa "member" rasmi miaka michache baadae sijawahi kuonywa au...
View Articlemwenye kumjua sallam vizuri aje hapa
nimetokea kuvutiwa na mahojiano yake na gazeti la champion la jana huyu sallam meneja kiongozi wa diamod.naomba kwa anayemjua labda asili yake hustle zake mishe zingne tofauti na umeneja labda na sisi...
View ArticleHuyu Sallam kumbe ndio kila kitu kwa Diamond
AFUNGUKA KILA KITU DIAMOND Platinumz ni mwanamuziki mkubwa Afrika, inatajwa kuwa msanii huyo ana timu nzuri nyuma yake ambayo imemwezesha kupata mafanikio mengi makubwa. DIAMOND Ukiachana na Said Fella...
View Article