Mwanamuziki nyota wa Tanzania leo ameweka Record ya kuwa msanii wa kwanza wa tanzania kupata deal kubwa zaidi ya ubalozi. Diamond amesaini mkataba huo leo akiwa na mpenzi wake zari the bosslady mbele ya waandishi wa habari wakati vodacom wakizindua campeni yao mpya ya ONGEA DEILEE.
Siku za hivi karibu diamond alikuwa akipost kwenye instagram kwamba big day kwenye maisha yake inakuja na hatimae imetimia , meneja wa diamond bwana sallam amethibitha kwamba siku kubwa waliokuwa wanasubili...
Diamond platnumz aingia mkataba mnono na vodacom, alamba zaidi ya 1 bilioni