Wadau hebu leo tutoe ya moyoni kuhusu watangazaji wetu wa redio na televisheni.. Ni yupi anayekuboa zaidi kufikia hatua ya kubadilisha hata channel unapomsikia?
Kwa upande wangu ni watangazaji watatu;
Wa kwanza ni huyu mtangazaji wa Redio one wa habari za Magazeti anaitwa Neema Kindole. Daaaah huyu dada usomaji wake unaniboa na kama amekariri maana lazima atumie maneno yaleyale day in day out hana ubunifu kabisa.. Pia kabla ya kusoma magazeti atachukua kama dakika tatu kuelezea...
Mada Huru: Ni Mtangazaji yupi anayekuboa zaidi?